Wakuu, naomba uzoefu wenu kuhusu
Grok AI na Kling AI kwenye utengenezaji wa video.
Ninataka kutumia AI kutengeneza
short wildlife/documentary videos za wanyama, hasa kwa ajili ya Facebook Reels, TikTok na YouTube Shorts.
Ningependa kujua kwa wale ambao mmezitumia:
- π Ipi ina video quality nzuri zaidi?
- π¬ Ipi ina uwezo mzuri wa kutengeneza action scenes kama wanyama wakikimbia, kupigana au kuwinda?
- π§ Ipi inaelewa prompts vizuri zaidi?
- π€ Ipi ina consistency nzuri ya character/animal kutoka scene moja kwenda nyingine?
- π° Kwa upande wa gharama na credits, ipi ina value nzuri zaidi?
- β±οΈ Ipi inatoa video nyingi zaidi kwa budget ndogo?
- π± Kwa video za 9:16 / Reels, ipi mnaiona inafaa zaidi?
- Kama una budget ya karibu TSh 30,000 kwa mwezi, ungechagua ipi?
Kwa mtu anayeanza leo, ungependekeza Grok au Kling? Na kwa nini?
Ningependa kusikia hasa kutoka kwa watu ambao
wamezitumia zote mbili, siyo maoni ya kusikia tu. π