Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Oct 31, 2023 #21 Ivan Stepanov said: Daftar 6 zile niliona nzito sanaaa. Click to expand... Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!!
Ivan Stepanov said: Daftar 6 zile niliona nzito sanaaa. Click to expand... Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!!
Ivan Stepanov JF-Expert Member Joined Apr 22, 2023 Posts 6,799 Reaction score 22,209 Oct 31, 2023 #22 Ngalikihinja said: Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!! Click to expand... Hatar kabisaa..Braza saa hii nakimbiza guta limejaa tenga za nyanya toka kariakoo mpaka kawe. Sasa mpaka najiuliza si bora ningepambana na daftar 6 tu zile mbona zilikua nyepes???
Ngalikihinja said: Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!! Click to expand... Hatar kabisaa..Braza saa hii nakimbiza guta limejaa tenga za nyanya toka kariakoo mpaka kawe. Sasa mpaka najiuliza si bora ningepambana na daftar 6 tu zile mbona zilikua nyepes???
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 31, 2023 #23 Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Nov 7, 2023 #24 ephen_ said: "Watch your mouth" Sipendi mtu anayenuka mdomo Click to expand... 😅😀😃😁Asukutue Hydrogen Peroxide
ephen_ said: "Watch your mouth" Sipendi mtu anayenuka mdomo Click to expand... 😅😀😃😁Asukutue Hydrogen Peroxide