Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!!Daftar 6 zile niliona nzito sanaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!!Daftar 6 zile niliona nzito sanaaa.
Hatar kabisaa..Braza saa hii nakimbiza guta limejaa tenga za nyanya toka kariakoo mpaka kawe.Usikute saa hii kiroba cha kila 50 kinahusika..!! Maisha haya, tungekuwa tunajua kinachofuata mbele, wengine wangejiuwa mapemaaa..!!
😅😀😃😁Asukutue Hydrogen Peroxide"Watch your mouth" Sipendi mtu anayenuka mdomo