Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.

Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.

Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi.

Hivyo group Admin atakuwa na uwezo wa kudhibiti mijadala kwenye group boresho hili WhatsApp wamepanga kulitoa mwakani.
Hivyo admin atakuwa na uwezo wa kufuta jumbe zilizo tumwa ndani ya siku saba, pia Admin atakuwa na uwezo wa kufuta hata ujumbe ulio tumwa na Admin mwingine

Ujumbe utakao futwa utafutika kwa watumiaji wote kwenye kundi na utakuwa na maneno yanayo someka "This was removed by an admin"

Maboresho haya yataanza kutumika siku yeyote kwa sasa bado hayapatikani
 
Admin wa kibongo ukigusa maslahi yake au asipopendezwa na reply zako hata kama zinaukweli anakupiga nyundo,sasa wawe wanafuta tu wasitupige nyundo.
 
Admin wa kibongo ukigusa maslahi yake au asipopendezwa na reply zako hata kama zinaukweli anakupiga nyundo,sasa wawe wanafuta tu wasitupige nyundo.
Hapa lazima watunyooshe maana ukichati wasivyo taka wanaondoa ujumbe.
 
Back
Top Bottom