REJONGO Senior Member Joined Oct 23, 2015 Posts 185 Reaction score 128 Mar 11, 2016 #1 Si uliniambia hili group la whatsap ni kwa ajili ya ma X wako tu,sasa rafiki yangu kidawa amefuata nn kwenye hili group
Si uliniambia hili group la whatsap ni kwa ajili ya ma X wako tu,sasa rafiki yangu kidawa amefuata nn kwenye hili group
Erickjr JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 994 Reaction score 787 Mar 11, 2016 #2 Hiyo "Ma X" Ndio "Majitu Gani" Hayo?? Yanaishi Sayari Gani?
Adharusi JF-Expert Member Joined Jan 22, 2012 Posts 14,422 Reaction score 7,350 Mar 11, 2016 #3 Na yeye alikua X
Superbrand JF-Expert Member Joined Apr 6, 2013 Posts 509 Reaction score 158 Mar 11, 2016 #4 Yeye ni kiranja mkuu
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Mar 11, 2016 #5 Inashangaza kidogo....!
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Joined Oct 13, 2013 Posts 18,925 Reaction score 13,267 Mar 11, 2016 #6 TANGAZO Linakera sana,huyu X anajifanya kuwa mwenye mamlaka kuliko wenzie!
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 Mar 11, 2016 #7 Naye ni X
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 Mar 11, 2016 #8 Hehehee hlo tangazo linafurahisha sana...inaonyesha jins gan mwanamke anahitaji mawazo ya mmewe ata kama jibu analo
Hehehee hlo tangazo linafurahisha sana...inaonyesha jins gan mwanamke anahitaji mawazo ya mmewe ata kama jibu analo
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 Mar 14, 2016 #9 Huo ujinga siwezi kuufanya