Group la ma x wako

Group la ma x wako

REJONGO

Senior Member
Joined
Oct 23, 2015
Posts
185
Reaction score
128
Si uliniambia hili group la whatsap ni kwa ajili ya ma X wako tu,sasa rafiki yangu kidawa amefuata nn kwenye hili group
 
Hiyo "Ma X" Ndio "Majitu Gani" Hayo?? Yanaishi Sayari Gani?
 
TANGAZO Linakera sana,huyu X anajifanya kuwa mwenye mamlaka kuliko wenzie!
 
Hehehee hlo tangazo linafurahisha sana...inaonyesha jins gan mwanamke anahitaji mawazo ya mmewe ata kama jibu analo
 
Back
Top Bottom