Group la Udaku magazine Tanzania lililopo kwenye Facebook kuiposti Picha ya mtu pasipo makubaliano ni sahihi

Abdalah Lyimo

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
269
Reaction score
153
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa na group Hilo kupitia picha hiyo .hali iliyopelekea kuingizwa kwenye makosa na kuonekana Girlfriend wangu Hana adabu kwann atume picha kwenye mtandao Kama huo wenye Matusi msaada wenu please kwani wamegoma kuifuta picha hiyo richa ya kuwatumia sms nyingi za kuwaomba Kama Kuna msaada mwingine nisaidieni tafadhari
 
Ni huyu?
FB_IMG_1542113843209.jpeg
 
Prince John ungenisaidia Nini Cha kufanya ili ile posti itolewe
 
Umejaribu kuwaandikia facebook na kusubmit official complaints kuhusu hiyo post na kuwaomba waifute, mitandao mingi ina hii option.
 
Ndo sielewi Jinsi ya kufanya Hilo swala ndo maana nmewaomba msaada watu Kama nyinyi
 
Hapo huna jinsi, tuma malalamiko facebook, then watumie na hiyo link ya account. Wao wataifuta na ikiwezekana na hiyo page wataifyekelea mbali.

Kama hujui jinsi ya kuwasiliana nao au jinsi ya kuripoti,google au kwenye hiyo post kuna sehem imeandikwa report, click hapo then fwata maelezo!!

Kama huioni, google contacts za facebook then watumie shida yako pamoja na link na jina la hilo group.

Option nyingine ni kwenda mahakamani, tena hii ukiwa fresh utadai na fidia juu.

Kila la heri.

Dragoon BISEKO piteni huku.
 
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa na group Hilo kupitia picha hiyo .hali iliyopelekea kuingizwa kwenye makosa na kuonekana Girlfriend wangu Hana adabu kwann atume picha kwenye mtandao Kama huo wenye Matusi msaada wenu please kwani wamegoma kuifuta picha hiyo richa ya kuwatumia sms nyingi za kuwaomba Kama Kuna msaada mwingine nisaidieni tafadhari
Alafu siku nyingine ukileta issue kama hii usipende kusema kila kitu maana utajikuta unaendelea kumdhalilisha bila kujua.

Kwa mfano hukutakiwa kutaja jina la hilo grup hapa.
 
Ndo sielewi Jinsi ya kufanya Hilo swala ndo maana nmewaomba msaada watu Kama nyinyi
Jaribu kuingia ktk akaunti ya fb, tafuta option ya help nadhani under settings (I'm not sure) lkn naamini utakuta directives nyingi so unaweza search taarifa kuhusu content removal.

Or ingia google then search facebook content removal policy or procedures naamini utafanikiwa.
 
Back
Top Bottom