Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa na group Hilo kupitia picha hiyo .hali iliyopelekea kuingizwa kwenye makosa na kuonekana Girlfriend wangu Hana adabu kwann atume picha kwenye mtandao Kama huo wenye Matusi msaada wenu please kwani wamegoma kuifuta picha hiyo richa ya kuwatumia sms nyingi za kuwaomba Kama Kuna msaada mwingine nisaidieni tafadhari