Abdalah Lyimo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 269
- 153
Kama ndo huyu mkuu bhasi hapo huna demu
Kua mtu wa kutoa msaadaWatu wa losku hatukoment bila picha
Ndo sielewi Jinsi ya kufanya Hilo swala ndo maana nmewaomba msaada watu Kama nyinyiUmejaribu kuwaandikia facebook na kusubmit official complaints kuhusu hiyo post na kuwaomba waifute, mitandao mingi ina hii option.
Kwani in huyu mkuuPapushikashi ungenisaidia nifanyaje ingekua ni muhimu sana
Hapo huna jinsi, tuma malalamiko facebook, then watumie na hiyo link ya account. Wao wataifuta na ikiwezekana na hiyo page wataifyekelea mbali.Ndo sielewi Jinsi ya kufanya Hilo swala ndo maana nmewaomba msaada watu Kama nyinyi
Alafu siku nyingine ukileta issue kama hii usipende kusema kila kitu maana utajikuta unaendelea kumdhalilisha bila kujua.Wana Jamii wenzangu Kuna group linaitwa Udaku magazine Tanzania Lina patikana kwenye facebook wameposti picha Ya Girl friend wangu na hatimaye watu kukoment matusi kutokana na swali lililo ulizwa na group Hilo kupitia picha hiyo .hali iliyopelekea kuingizwa kwenye makosa na kuonekana Girlfriend wangu Hana adabu kwann atume picha kwenye mtandao Kama huo wenye Matusi msaada wenu please kwani wamegoma kuifuta picha hiyo richa ya kuwatumia sms nyingi za kuwaomba Kama Kuna msaada mwingine nisaidieni tafadhari
Jaribu kuingia ktk akaunti ya fb, tafuta option ya help nadhani under settings (I'm not sure) lkn naamini utakuta directives nyingi so unaweza search taarifa kuhusu content removal.Ndo sielewi Jinsi ya kufanya Hilo swala ndo maana nmewaomba msaada watu Kama nyinyi