Group O positive

japhet nkwabi

Member
Joined
Mar 8, 2013
Posts
91
Reaction score
15
Wataalamu nisaidieni kuhusu tetesi za mtu mwenye damu group o postive kuwa ni ngumu kunasa maambukizi ya vvu, msaada plz
 
Anapata HIV kubwa tumia kinga muda wote
kamba unaweza loweka lakini ukajuta bure.
 
Wewe una group O positive?
Kuna wagonjwa ninawafahamu, labda nikuunganishe nao muanze mahusiano halafu utatusimulia baada ya mwaka mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…