Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
A positive je!!?Nadhani Group O minus ndio adimu zaidi.
kuna 0+ve na 0-ve mkuu.Kundi la O ndo kundi linaloongoza kuwa na watu wengi duniani ndo maana lina umuhimu mkubwa katika kuokoa maisha ya watu.
Group O negative ndio linalotafutwa zaidi, binafsi ni group B negativeHili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata,
Tujadiliane
O+Hili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata,
Tujadiliane
Mtoa mada ni member since 2015New member sio!