GROUP O - TUKUTANE

GROUP O - TUKUTANE

kotapini

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
92
Reaction score
158
Hili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata,
Tujadiliane
 
Kundi la O ndo kundi linaloongoza kuwa na watu wengi duniani ndo maana lina umuhimu mkubwa katika kuokoa maisha ya watu.
kuna 0+ve na 0-ve mkuu.

0+ve ni zaidi ya 60% ya watu duniani wana group hili,sifa ya hawa watu ni wengi sana group lao.
0-ve ni kama 5% ya watu duniani,upekee wa group hili linatoa damu kwa magroup yote,ila linapokea kwa 0-ve mwenzie tu,ndio sababu ya upekee wake,ni kama almasi kwamba ina kazi na thamani kubwa ila upatikanaji wake ni kisanga.
sifa nyingine ni gumu sana kushambuliwa na magonjwa.
 
kwamba tunapenda sex,lakini ni wabovu wq ugonjwa wa kichwa.
 
Hiyo asilimia 5 ndio naiongelea, wapo wachache sana, kuna siku nilienda sehemu nikakuta watu wa huduma ya kwanza wanatangaza kama yupo mwenye hili group, kuna mtoto anaumwa na anahitaji damu, niliumia na nikajua kumbe wapo wachache, na sasa tujuane ili tulisaidie Taifa
 
Nafikiri yako magroup ya WhatsApp ya hili group.,wako wchache sana ni vizuri kutafuta hayo magroup
 
Hili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata,
Tujadiliane
Group O negative ndio linalotafutwa zaidi, binafsi ni group B negative
 
Hili ni group adhimu kuliko magroup yote ya damu, hata leo ukienda hospital wakakupima una hili group lazima wakutafuta?
Kipi special kwenye hili group na nini tufanye kuisaidia nchi hasa palepanapotekea uhitaji wa damu lakini ni ngumu kuipata,
Tujadiliane
O+
 
Back
Top Bottom