SubiriJibu
JF-Expert Member
- Jun 26, 2009
- 1,805
- 1,876
Kama umemaliza Standard seven kabla ya mwaka 1990. Je, kuna ambao wamefaulu kuwa na whatsapp group?
Na je, likishakuwepo kuna stori gani huko.
Je, mnafanana kwa stori?
Je, group linadumu?
Na je, likishakuwepo kuna stori gani huko.
Je, mnafanana kwa stori?
Je, group linadumu?