mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha
siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo
juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!
nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!
bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa
Kunajingine sasa la wanawake mijimama yenye nazo yanatafuta vijana tu unaambiwa nikundi la kutoa papuchi tu!!sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha
siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la pili ilo
juzi nimeungwa la wana chuo,mtaani ninalo wa wazazi wa jumuiya....bado nna grup la wanywaji wenzangu..bado nna grup la ukoo !!
nimejikuta nna magrup 9 mpaka sasa message hadi 1500......ukijitoa unaonekana unaringa...aisee hii kitu ni hatari!!
bado jf,fb,insta and tweeter...kaz mtafanya kweli bandugu???hii ni thidaaa
kuna jamaa yangu mkikaa nae nii sms mwanzo mwisho. nikasema sitakaa nijiunge na hayya makitu.
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.It's rude to chat for hours while you're in the company of other people, soo un cival!
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.
Kuna kundi nilijiunga, lilinishindaa nikajitoa. Sms kibao na hazina kichwa wala miguu
kumbe wanapoteza muda na real friends.Heri yako wewe umeliona hilo, watu wanaona ni ujanja kumbe?!, I wish wangelijua!
yaani unakuwa unazingua mno. mi mgeni akija hata Tv siwashi nasema tuongee. sasa ukianza na mawasapu unakuwa unanitibua sana. na ntakudharau.