Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashatuangusha wadau tayariToa maelezo hiki ni nini?
"Njoo pm" nimemsaidia kukujibu 😹Toa maelezo hiki ni nini?
Ni utaratibu wa kuifanya biashara/kampuni yako iwe na viwango vya kimataifa kwa upande wa ubora kwenye menejimenti. Viwango hivyo.vinakupa faida tajwa hapo juu pamoja na zingine nyingi.Toa maelezo hiki ni nini?
Usianguke tafadhali. Kama wewe ni mjasiriamali simama na ISOAshatuangusha wadau tayari
Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?Ni utaratibu wa kuifanya biashara/kampuni yako iwe na viwango vya kimataifa kwa upande wa ubora kwenye menejimenti. Viwango hivyo.vinakupa faida tajwa hapo juu pamoja na zingine nyingi.
ISO 9001 inakuwezesha kuendesha biashara yako kikanuni bila kutegemea utashi wa mtu mmoja mmoja hasa kwenye kufanya maamuzi ya kimkakati.
Imebidi nicheke.Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?
Sio product ya kampuni mkuu. Wala hiyo/hizo standard haimilikiwi/hazimilikiwi na mtu.Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?
Ndugu yangu, hivi hivyo ndivyo unavyofanya presentation ya product ya kampuni na kutaka kuiuza kwa watu?
Imebidi tena kusoma nilichoandika na nikaona hakuna tatizo lolote ndugu zerominus10 na Kashaija72 pengine hujui lolote kuhusu ISO ukadhani ni kitu kinachozalishwa. Ikikupendeza unijibu. una maarifa yoyote kuhusiana na ISO?Imebidi nicheke.