Grycelin ya Zambia na maajabu yake

Tatizo ni shida kupatikana
Unahangaika kutafuta ikikuishia
Lkn ni kweli nzuri sana nami nilishawahi kuitumia
 
Unapiga promo naona,hii ya Tanzania natumia toka ujana wangu hd leo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ahsanteeee
 
Je kwa unavyoiona inaweza kutufaa sisi CHAPUTA?
 
Unapiga promo naona,hii ya Tanzania natumia toka ujana wangu hd leo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 834039
wasiwasi wako tu ndugu, we tangaza biashara ya duka,,ingekuwa promo ningeweka Namba yangu wanitafute but sijaweka, na nImewapa name s ehemu wanazoweza kupata,.

we mwenyewe Umepost picha ya duka limejaa glycerin but ya Zambia haipo.
 
Tatizo ni shida kupatikana
Unahangaika kutafuta ikikuishia
Lkn ni kweli nzuri sana nami nilishawahi kuitumia

ni kweli, Mimi mwwnyewe sehemu nilipo nimehangaika Sana kupata, nikabahatika kupata duka Moja
 
Nimetembea ukurasa kwa ukurasa natarajia nikute picha hata ya mguu halafu bila bila
 
ni kweli kbs!ni gylcylene nzuri sana hata mm natumia hyo sasa hv !
 
ni kweli kbs!ni gylcylene nzuri sana hata mm natumia hyo sasa hv !
Wow hongera sipati picha ulivo nga'ra, yan Mimi nimekuwa na ngozi Kama ya mtotoni n nimepata mng'ao Kama WA mtu mwenye PESA, najuta nilikuwa wapi kuifahamu Mapema na. nimeng'ara .
 
Wow hongera sipati picha ulivo nga'ra, yan Mimi nimekuwa na ngozi Kama ya mtotoni n nimepata mng'ao Kama WA mtu mwenye PESA, najuta nilikuwa wapi kuifahamu Mapema na. nimeng'ara .
nzuri sana ! yeah nimesoftikaaaaa
 
Na kapicha basi ili tuelewe sana
 
Je yanateleza kama yale yaliyopigwa marufuku kulainishia ngozi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…