Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
Huna ushahidi,Hela hizo anatoa mzee wa mizoga huyo gsm si kivuli tu bado hamjajua mpaka leo????why???
Ungesema "akiongea kwa mara ya kwanza". Maaba jamaa huwa hasikiki akiongea huyoTajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.
Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.
Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.
Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.
View attachment 2635648
Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Ni yale yale Yanga akishida atapewa $2m na CAF kama zawadi kwa bingwa, ni sawa sawa na 4.6bn Tshilling, toa pesa ya wachezaji wote wa yanga atakao pewa hiyo 60m = ni 24×60= 1.4bn salio ni 3bn bado atapata faida mpira ni mahesabu. Capitalist hawezi kufanya hasara.Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.
Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.
Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.
Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.
View attachment 2635648
Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Una akili nzurimimi ni kolo kindakindaki lakini katika hili nipo na GSM na YANGA.... hili ni jambo la kitaifa
Kama hujui ni kwamba ela itakayovuna Yanga ni 4.7 billion hivyo hiyo ela ataitoa katika hiyo hesabu. Acha kupakazia watu vitu vya ajabuJambo zuri ila serikali kupitia usalama wa Taifa mchunguzeni GSM inaweza kuwa mtakatishaji wa pesa.
AahaaaaaaaSuper League ng'eng'eng'e....
Kwenye kikosi cha kwanza cha utopolo watanzania wapo wangapitwende tukasapoti club ya taifa
GSM sio mwekezaji, GSM ni sponsor!Ni yale yale Yanga akishida atapewa $2m na CAF kama zawadi kwa bingwa, ni sawa sawa na 4.6bn Tshilling, toa pesa ya wachezaji wote wa yanga atakao pewa hiyo 60m = ni 24×60= 1.4bn salio ni 3bn bado atapata faida mpira ni mahesabu. Capitalist hawezi kufanya hasara.
usajiri,
Tofauti ni ipi? Sponsor hategemee returns? Au we unafikiri ana donate tu.GSM sio mwekezaji, GSM ni sponsor!
Wapo 22 x 60000000Thubutu yake,mil 60 kwa kila mchezaji????nyoooooo
Jifuzeni lugha ya mabepari.GSM sio mwekezaji, GSM ni sponsor!