GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.

Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.

Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.

Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.

View attachment 2635648

Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Ungesema "akiongea kwa mara ya kwanza". Maaba jamaa huwa hasikiki akiongea huyo
 
Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.

Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.

Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.

Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.

View attachment 2635648

Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Ni yale yale Yanga akishida atapewa $2m na CAF kama zawadi kwa bingwa, ni sawa sawa na 4.6bn Tshilling, toa pesa ya wachezaji wote wa yanga atakao pewa hiyo 60m = ni 24×60= 1.4bn salio ni 3bn bado atapata faida mpira ni mahesabu. Capitalist hawezi kufanya hasara.
 
GSM sio mwekezaji, GSM ni sponsor!
 
Taifa Stars kwani tuliahidiwa bei gani tukimfunga Uganda?

Steve Nyerere leo hii anajitaji ahadi ya bei gani kama motisha ili aweze kushinda pambano lake dhidi ya Tyson?
Taifa Stars Kichwa cha mwendawazimu.
 
Back
Top Bottom