GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

Inanikumbusha ile ya mwaka 1993 kati ya Simba na Stella Abdijan. Mdhamini anaahidi kila mchezaji gari aina ya KIA, then baadae Mdhamini anawafata pembeni beki mmoja na kipa anawaambia ahadi haitekelezeki kwa wachezaji wote, jifungisheni nyie wawili tutawapa KIA mbili mbili. Ndivyo inavyokuwa.
 
Ni ya kweli mkuu
 
Kila laheri Uto...
 
HIZI AHADI HIZI!!!!!! ?? Isije ikatokea mwaka 1993 tajiri mmoja uchwara aliwaahidi wachezaji Kila mmoja HIACE wakitwaa ubingwa, akidhani kuwa hawataweza. Walipokwenda ugenini Ivory coast wakajikakamua na uwezekano wa kutwaa ubingwa ukawa mkubwa. Tajiri uchwara huyo pressure ikapanda. Ikabidi ahujumu mechi ya marudiano kwa kuwahonga mabeki wake na kipa ili wafungwe.
Ni enzi zili kilikuwepo bia maarufu iitwayo STELLA ARTOIS .

Siku ya marudiano Kila mtu alishangaa jinsi timu hiyo kutoka abijdan ilivyowasokota timu hiyo yenye mbwembwe nyingi lakini ni shamba la bibi la watu wenye asili ya Bara la Asia
 
Azim Dewj alikuwa muhuni.

Kipindi hiko paarticipation prize ilikuwa USD 0.

Ilikuwa haina uhalisia.




Ahad ya GSM ina uhalisia kwa kuwa. Ame ahidi kutoa pesa kwenye kikapu cha champion prize.
 
Tofauti ni ipi? Sponsor hategemee returns? Au we unafikiri ana donate tu.
Sportpesa ni sponsor wa Yanga SC.

Ni kiasi gani cha pesa ambacho Yanga sc watamgawia Sportpesa?

Ukiachana na returns ya "mileage"
 
Kwenye kikosi cha kwanza cha utopolo watanzania wapo wangapi
Kabla ya kujua idadi ya wazawa.

Jiulize Klabu ya yanga sc inatokea nchi gani?

Ukipata jibu, huto uliza uraia wa wachezaji.
 
Huu ndiyo mwanzo wa kuikwamisha yanga kuchukua ubingwa.

Hawa mbwa huahidi wakijua timu haiyaweza kushinda. Ikishinda mechi ya kwanza tu, watatafuta namna ya kuiangusha ili wasitoe hayo mamilioni.

Kama itakumbukwa, simba wakiahidiwa hyundai. Kilichofuata baada ya simba kutoa sare ugenini ni kuhakikisha inafungwa nyumbani.

Tusubiri tuone hiyo 60m kwa kila mchezaji kama itatoka.
 
Sema tu GSM sio bahili yanga imetumia zaidi ya bilioni 2 kusafiri sudan, tunisia, tunisia, mali, Nigeria, congo na south africa.

Kupigia kwamba GSM atapata faida kwenye 4.7 bilion kama atachukua ni kichekesho!!!

Football inalipa ila in long-run!! Ingekuwa hiyo mo asingekuwa bahili kama alivyo sasa
 
Hii Habari hasisikie USM ALGER 🤣🤣🤣🤣
 
30000usd sio powa
Huyu mwamba akitoa iyo pesa kwa hawa wachezaji baada kushinda kombe basi ajengewe sanamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…