GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

GSM aahidi mil 60 kila mchezaji kama yanga ikitwaa ubingwa CAFCC

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Tajiri Asiye Bahili & Mwenye roho safi leo mchana amepata fursa ya kuzungumza na wachezaji kielekea mchezo wa kwanza wa fainali ya CAFCC.

Katika Kikqao hiko kifupi Ameahidi wachezaji kwamba kila mchezaji atajipatia zawadi ya USD 30,000 Endapo Klabu ikifanikiwa kutwaa taji la CAFCC Msimu huu.

Pesa hizo ambazo zitatikana na ushindi wa taji hilo ni sawa na asilimia 47% ya jumla ya pesa ambazo klabu itapata baada ya kushinda hilo taji.

Aidha Boss GSM amewahikikishia wachezaji kuwa endapo wakishinda tajo hilo msimu huu basi kuna mpango wa zawadi kubwa ambaao ameuandaa kwa kila mchezaji katika msimu mpya wa CAF utakao anza wakati ujao.

20230522_212310.jpg


Hii ni BONUS kubwa sana kuwahi kuahidiwa kwa wachezaji katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
 
Back
Top Bottom