GSM afiwa na kaka yake

Ndani ya muda mfupi wanapoteza watu wawili...Mungu awafanyie faraja hawa watu
 
Kafara hoyeeeeeee!!!! Malipo ya ubingwaaa.
Km coastal union wangechukua kombe, asingekufa huyo,
Malipoooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

RIP kaka kwa kuzindikiwa hapo utopwiseee.
 
Pumbafu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mezoea kuroga mnadhani Kila mtu analoga

Wachawi nyie

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Daahhh...Rip Bro wake, au ndio mambo ya K.f.ra hayo ili ubingwa upatikane.
Mtu hunena kilichouzaja moyo wake.. !! Hata watu ambao mioyo yao imejaa mambo ya kutoa makafara nao hunena hayo hayo. Huwezi kutoa au kumgawia mtu ambacho huna. Ili uweze kutoa, lazima uwe nacho kwanza

RIP kaka wa GSM
 
Pumbafu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mezoea kuroga mnadhani Kila mtu analoga

Wachawi nyie

[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Uchawi si ndo unaonekana wazi hapa, baba na kaka, wamelala mwana ndani ki ubavu, sisi tunanyanyua kwapa na kushangilia.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…