Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugai nae alikaa india mwaka mzima ki matibabu,nae ni mhindi?Kumbe jamaa ni wahindi
****** ni muhindi wa kongwaNdugai nae alikaa india mwaka mzima ki matibabu,nae ni mhindi?
PumbafuKafara hoyeeeeeee!!!! Malipo ya ubingwaaa.
Km coastal union wangechukua kombe, asingekufa huyo,
Malipoooooo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP kaka kwa kuzindikiwa hapo utopwiseee.
Ningeshangaa nisingekutana na hii comment🤣😂Bashite anasemaje uko aliko?
Kabla sijafungua uzi niliwaza huu ujinga namiDaahhh...Rip Bro wake, au ndio mambo ya K.f.ra hayo ili ubingwa upatikane.
Alienda kutibiwa huko ndio mauti yakamkutaKumbe jamaa ni wahindi
Acha mawazo mfuDaahhh...Rip Bro wake, au ndio mambo ya K.f.ra hayo ili ubingwa upatikane.
Mtu hunena kilichouzaja moyo wake.. !! Hata watu ambao mioyo yao imejaa mambo ya kutoa makafara nao hunena hayo hayo. Huwezi kutoa au kumgawia mtu ambacho huna. Ili uweze kutoa, lazima uwe nacho kwanzaDaahhh...Rip Bro wake, au ndio mambo ya K.f.ra hayo ili ubingwa upatikane.
Tulia wewe Mzungu Pori toleo la Mwisho.Acha mawazo mfu
Umemuuliza nani akakwambia haina uhakikaHii taarifa haina ukweli wowote, ndugu zangu msiwe mnapost kama hamuna uhakika wa jambo
Sio huyu alifiwa na Baba yake juzi juzi?Habari wakuu.
Mdhamini wa yanga Mr. Ghalib Said Mohamed amefiwa na kaka yake aitwaye Jamal huko india usiku huu
Inna lillahi waina ilayhi raajiuun.
Uchawi si ndo unaonekana wazi hapa, baba na kaka, wamelala mwana ndani ki ubavu, sisi tunanyanyua kwapa na kushangilia.Pumbafu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mezoea kuroga mnadhani Kila mtu analoga
Wachawi nyie
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ni yeyeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio huyu alifiwa na Baba yake juzi juzi?
ni kweli hiyo taarifa nenda kwenye post ya salaah insta utaona ! marehemu alikuwa anaitwa jamalHaji manara hakupost, shaffi dauda hakupost, millard hakupost, sasa hii taarifa ndio kwanza tunaisikia humu. Msiba wa mzee wao taarifa ilisambaa mitandaoni.
ni kweli hiyo taarifa nenda kwenye post ya salaah insta utaona ! marehemu alikuwa anaitwa jamal
Umemuuliza nani akakwambia haina uhakika