Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Asante sana kwa kufufua kaburi hili. Hawa ni wahuni wa kipindi cha Kikwete.Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake
Sasa ni wazi hali imeanza kuwa tete kwa wafanyabiashara washirika wa vigogo wa serikali na watoto wao... Kampuni ya Home Shopping Centre washaanza kufungasha virago na kukimbia kusikojulikana. Ikumbukwe kampuni hiyo imekuwa ikihusishwa na moja wa mke wa kigogo hapa nchini, pamoja na mtoto wa...www.jamiiforums.com
Ngoja tukalete mauza uza ya hovyo ya MeTL .Ujinga mwingi ndiyo maana wajanja kuliko yeye walimtekaMiaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF...
Mtapata tabu sana. GSM Huwezi kufananisha na MeTL ndiyo maana alitekwa na wajanja kuliko yeyeAsante sana kwa kufufua kaburi hili. Hawa ni wahuni wa kipindi cha Kikwete.
Mwambie wahindi Dewji na Babra waunde timu yao.Jiulize na upate majibu mwenyewe kwa nini Mo alitekwa na kudharilishwa kwa mambo yake ya kitapeli na ya hovyo hovyo.Akiendelea na ujinga wake wajanja kuliko yeye watamteka tenaMiaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF...
Mbona unahaha sana. Kulikoni. Comments zimepangana.Mwambie wahindi Dewji na Babra waunde timu yao.Jiulize na upate majibu mwenyewe kwa nini Mo alitekwa na kudharilishwa kwa mambo yake ya kitapeli na ya hovyo hovyo.Akiendelea na ujinga wake wajanja kuliko yeye watamteka tena
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
GSM=DISCOUNT CENTER= HOME SHOPPING CENTERMbona unahaha sana. Kulikoni. Comments zimepangana.
GSM = Home Shopping center
Zanzibar ni koloni la TanganyikaNgoja tukalete mauza uza ya hovyo ya MeTL .Ujinga mwingi ndiyo maana wajanja kuliko yeye walimteka
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hawa mafisadi wanapata nguvu kwa vile Mzee wa Saigon ndiye kashikilia remote.Miaka ya 2010 hadi 2015 Home Shopping center walikuwa wao ndio TPA. Huwezi kuagiza bidhaa nje kupitia bandarini kama hawajakuruhusu wao. Huu uhuni wa kishamba wanataka kuuleta kwenye football. Wanachotaka kuiweka mfukoni mwao TFF.
Pesa zao wazitumie watuachie football yetu. Wanaleta siasa za kipumbavu kwenye football. Wameshindwa kujenga team yao. Sasa wanapambana kwa nguvu, bila ethics kwakuwa Kikwete yumo ndani.
GSM jengeni team yenu acheni porojo. Mpira ni mchezo wa wazi, mpira ni burudani, mpira ni urafiki.
Jengeni biashara yenu acheni kuparamia vitu. Football ipo na kanuni na taratibu zake.
Kwa hiyo Mo Dewji Azam, Manji, Mengi Salum Awadh, Patel wote hawa walikuwa hawawezi kuagiza mzigo nje ya nchi bila ridhaa ya Kubwa lao GSM? Hizi akili ni mbuzi tu anaweza kuwa nazoMbona unahaha sana. Kulikoni. Comments zimepangana.
GSM = Home Shopping center
Siwezi nikaongea na wewe kibaraka wa GSM aka waarabu.Kwa hiyo Mo Dewji Azam, Manji, Mengi Salum Awadh, Patel wote hawa walikuwa hawawezi kuagiza mzigo nje ya nchi bila ridhaa ya Kubwa lao GSM? Hizi akili ni mbuzi tu anaweza kuwa nazo
Sasa hapo ukibaraka uko wapi? Mbona wewe hujaonesha umafia wa GSM huko bandarini zaidi ya porojo. Kama una ushahidi weka hapa. Kwanza unatumia jina feki, weka ushahidi hapa huo uovu wa GSM ambao unahofia wasije kuleta kwenye mpira.Siwezi nikaongea na wewe kibaraka wa GSM aka waarabu.
Ushahidi wa ukibaraka wako huu hapa.View attachment 2036990View attachment 2036991View attachment 2036992
Huwa siongei na vibaraka. Ukiacha ukibaraka uje tuongee ukiwa na akili timamu. Sasa hivi unaramba matako ya haji manara.Sasa hapo ukibaraka uko wapi? Mbona wewe hujaonesha umafia wa GSM huko bandarini zaidi ya porojo. Kama una ushahidi weka hapa. Kwanza unatumia jina feki, weka ushahidi hapa huo uovu wa GSM ambao unahofia wasije kuleta kwenye mpira.
Wewe ndo mke wa M0? Acha chuki za kifala. Huna hoja Kaa kwa kutulia kama Kuna ufisadi, ninyi zombies huwa mnasema magufuli kibokonya mafisadi, si angedili nao?Huwa siongei na vibaraka. Ukiacha ukibaraka uje tuongee ukiwa na akili timamu. Sasa hivi unaramba matako ya haji manara.
Kwani Magufuli kiboko ya mafisadi hakuwepo wakati GSM inatamalaki? Sasa hivi GSM ndie king of Tanzania -zambia -Congo road. Ndiye mzalishaji bora kabisa wa bidhaa hapa Tanzania. Achana na Mo anaesubiri Bakhresa atoe product Kisha yeye akopi.Hawa mafisadi wanapata nguvu kwa vile Mzee wa Saigon ndiye kashikilia remote.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Wewe ni ubwabwa, unaliwa.Wewe ndo mke wa M0? Acha chuki za kifala. Huna hoja Kaa kwa kutulia kama Kuna ufisadi, ninyi zombies huwa mnasema magufuli kibokonya mafisadi, si angedili nao?
Acha kupambana na mwenye pesa. Kama wewe inakuuma mwambie nae Mo adhamini ligi TFF Inahitaji watu wawwke pesa. Wewe u adhani timu ndogo zipate wapi pesa za kuendeshea timu? Mshawishi Mo aweke pesa sisi Yanga tutamweka hata kwenye bukta bila wasiwasi