SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
GSM ilijijenga enzi ya JK wakati ikiitwa HSC wakati wa Magu waliufyata na ndiyo walibadilisha jina.Kwani Magufuli kiboko ya mafisadi hakuwepo wakati GSM inatamalaki? Sasa hivi GSM ndie king of Tanzania -zambia -Congo road. Ndiye mzalishaji bora kabisa wa bidhaa hapa Tanzania. Achana na Mo anaesubiri Bakhresa atoe product Kisha yeye akopi.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app