GSM anafanya atakalo Yanga

GSM anafanya atakalo Yanga

Ujio wa Manara umewafanya Utopolo wajione kama PSG vile
Ni kweli kbs
We mfuasi wa makolo united

Na hili je [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums-739198275.jpg
 
Ni kweli kbs
We mfuasi wa makolo united

Na hili je [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1909160
Ndiyo zeruzeru mkalia tako moja alipowafikisha hapo nyie mnataka mjue hela iko account gani ili iweje. Endeleeni tu kudemka na hayo matambara sisi eneo letu la kujidai ni kwenye pitch nyie wauza sura tunasubiri mayowe yenu mara TFF mara marefa. Hamna akili nyie.
 
Utatuambia nini
 
Kolokoro katika ubora wake, pole kwa mateso kaka.
 
Masikini mwenzangu kaa kimya! Ungekuwa una kauwezo wala husingepata muda wa kuandika hayo uliyoandika!
 
Kuna chizi mmoja kule Twitter amechanganyikiwa anajiita Kigogo2014!
 
Back
Top Bottom