Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Kibaya zaidi kila nikimpigia simu kuuliza maswali ya maana Yeye anajibu YANGA BINGWA halafu anakata. Naumia mimi.
By Jemedari wa mchongo bin misumari.