Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Yanga Bingwa.Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Watoke mapangoni wana hali?🤣🤣🤣🤣
Utawatoa mbumbumbu mapangoni
Janezari binti kachumbariMimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Kibaya zaidi kila nikimpigia simu kuuliza maswali ya maana Yeye anajibu YANGA BINGWA halafu anakata. Naumia mimi.
By Jemedari wa mchongo bin misumari.
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu pole sanaMimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Kibaya zaidi kila nikimpigia simu kuuliza maswali ya maana Yeye anajibu YANGA BINGWA halafu anakata. Naumia mimi.
By Jemedari wa mchongo bin misumari.
Kalaga Baho Nongwa mmoja huyu hapa katoka pangoni
Hivi ni VichekeshoMimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.
GSM aliinunua Simba akaikanda 5, Azam 4, Vital'O 10, CBE 7. Tafadhali huyu adhibitiwe. Leo nasikia kanunua game ili Simba ipelekewe moto na Al Ahly Tripoli.
Kibaya zaidi kila nikimpigia simu kuuliza maswali ya maana Yeye anajibu YANGA BINGWA halafu anakata. Naumia mimi.
By Jemedari wa mchongo bin misumari.
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 hahaaaaaaaaaaaa....Jemedari wa Mchongo.Mimi Jemedari wa mchongo naumia sana kuona GSM ananunua game. Jambo hili linaharibu ladha ya ligi.