GSM hawafai kudhamini timu

GSM hawafai kudhamini timu

Habar jf

Hawa GSM hawafai kudhamini timu yoyote hapa nchini, tumeshuundia miaka 3 walichokifanya ndani ya yanga ni ujaja jaja tu, Hatujawahi kuona yanga ikikaa miaka 3 ikiwa na mdhamini alafu ikakosa ubingwa

Matokeo mabovu ya timu zilizominiwa na GSM msimu huu ni mwendelezo wa jaja yao, mfano ni Namungo, hii timu haijawahi kufungwa gor 3 tena ndani ya Dk 20 tu

Ushauli wangu naomba mnaopata udhamini wa hawa jamaa mjitafakali mala mbili,

Naziona timu zote zilipokea pesa za mchongo kutoka GSM Kuna timu moja inashuka daraja moja kwa moja na zingine zitabaki kungana play off

Uzi huu naomba utuzwe na Kama Kuna mtu anabisha alete mkono
Mdhamini ana husika aje kwenye matokeo ya timu?
 
Hivi mmechanganywa ni nini? Mbona kama mmekatwa vichwa??
 
wacha tuwachanganye makolooooooooooooo ili jumamosi tukate kichwa vzr
 
Mkataba ni kati ya GSM na TFF
Huruhusiwi kuhoji
Wala Simba haiwahusu.
Screenshot_20211209-053742_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom