GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

GSM inawadharau models wa Kitanzania? Why Zari?

Kwanza kabisa napenda niwatakie Sabbatical njema, pili leo ni Nyerere day, nitamuenzi baba wa Taifa kwa njia hii.

Kwanza naomba nikiri huyu Zari mimi namsikia jina tu sijawahi kujuwa hasa kwa hakika shughuri zake ni nini zaidi ya kujuwa ni hawara wa msanii Diamond that's it.

Huwa sina muda wa kudiscuss drama za watu wa aina hii lakini kwakuwa hili la zari lipo in economics grounds naomba nitowe maoni yangu.

Kwa maoni yangu ni dharau kwa Watanzania GSM kumleta Zari kuzinduwa hilo duka lao la Danube nadhani kwa maoni yangu mtu sahihi walipaswa wamuite Diamonds kufanya uzinduzi huo

Kwakuwa Watanzania sasa hivi ni mashabiki ushuzi wa Team ushuzi hawawezi kunielewa wala kukubali kitendo hiki ni dharau kubwa imefanywa na GSM dhidi ya models wetu, kumleta mganda halafu utegemee wateja Watanzania huu ni ufala uliopitiliza.

Binafsi yangu natangaza rasmi boycott bidhaa za duka hilo la Danube kwa kitendo hiki cha kutowapa support models wetu kufanya jukumu hilo.

Tunao kina Mbwana Samatta, Flavian Matata, yupo Joti yupo Masanja, yupo mzee Majuto why Zari? Zari ni Celeb wa nini jameni naomba kujuzwa.

Team ushuzi unaruhusiwa kujaza omo mdomoni ukaja na mapovu hapa.
Jichunguze mkuu,una roho mbaya tena imejaa ubaguzi na watu kama wewe ndio mnaosababisha dunia iwe mahali pabaya pa kuishi.
 
Jichunguze mkuu,una roho mbaya tena imejaa ubaguzi na watu kama wewe ndio mnaosababisha dunia iwe mahali pabaya pa kuishi.
FB_IMG_1505646928350.jpg
 
Kwahyo ulitaka afunguwe BINTI KIDOMO?tatizo la dada zetu wa kibongo heshima hawana,,,wao wanaona kuwa na msururu wa MADUME NDY UMAARUFU kumbe ni KASHFA TU
 
Kwahyo ulitaka afunguwe BINTI KIDOMO?tatizo la dada zetu wa kibongo heshima hawana,,,wao wanaona kuwa na msururu wa MADUME NDY UMAARUFU kumbe ni KASHFA TU
Yani kwakuwa Zari anatombeshea South Africa ndio unajitia upofu kwamba hatombeshi?

Hivi kwa akili yako Waganda wanaweza kumuita Mtanzania kufanya lounge ya duka lao? Mentality slave.
 
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
Ina maana hata Mimi hujanifollow?
 
Miye mwenyewe sijajifollow, kwa kifupi sijui hata inatumikaje, mimi ni yule tu dada wa Taifa ndiye kiumbe pekee hapa Tanzanian aliyeweza kunishawishi kumfollow.

Dah,basi tutasaidia jinsi ya kuitumia,mi takufollow wewe tu Dunia nzima
 
Tatizo bado liko palepale IQ za Watanzania ndio tatizo kubwa, kwahiyo huyu Zari ana benefit kwa Diamond out of uhawara wao?

Angalau umenifumbuwa macho nimeanza kuelewa maana mimi Insta nimejiunga kwa ajili ya yule dada yetu kipenzi ili nisipitwe na series zake na mitusi yake. Otherwise sina la zaidi kwenye Insta.
Hahahaha dah... nimecheka sana wallah...
 
Hakuna mtu anayetaka kufanya biashara ya hasara hata kidogo....hivyo kama mfanya biashara nitatumia means yoyote kutangaza biashara yangu....Hata kama ninauwezo wa kumtumia Beyonce nitamtumia...

What if hao GSM walilenga soko la Uganda kwa kumtumia Mganda.....Biashara ni ujanja....Leo ukiona bidhaa ya Kenya katumiwa Diamond kwenye matangazo lalizima utavutiwa kununua...

Ni ujinga eti kutokununua bidhaa kisa Zari kawekwa kwenye matangazo
 
Baba paroko umeshalewa divai asubuhi asubuhi, yani duka lifunguliwe Mlimani City kutarget wateja wa Uganda? Are u serious?
 
DUH KUMBE BADO WAJINGA WAPO!!! SIASA YA UJAMAA ILITUHARIBU SANA.DUKA SIO LAKO UNAWAPANGIA NINI.HIVI HATA KAMA UNA AKILI KATI YA ZARI NA WEMA AU ZARI NA GMONEY UNGEMWALIKA NANI.SASA HATA WEWE AMBAYE UMEJAA USHAMBA MBONA UMEJUA SASA KUWA KUNA DUKA LINAFUNGULIWA GSM.WAMWALIKE STEVE NYERERE KWANI WANAFUNGUA DUKA LA MITI SHAMBA.BONGO MOVIE KAMA WANASHINDWA KUUZA MOVIE ZAO WATAWEZAJE KUKUTANGAZIA BIASHARA YAKO.GSM HAJAWADHARAU WASANII WETU ILA WASANII WAMEJIDHAURISHA WENYEWE NA KUJISHUSHA THAMANI WENYEWE.ZARI NI BRAND KAMA HUJUI KAMA KAWEZA KUFUNGUA MADUKA YAKE HUKO AFRIKA KUSINI AMBAKO SIO ALIKOZALIWA NA AKAFANIKIWA ATASHINDWAJE KUWA BALOZI KWENYE NCHI YA MME WAKE.WATANZANIA TUBADIRIKE NA BIASHARA INAENDA KASI SANA TUKIBAKI NA MAWAZO MGANDO YA ENZI ZA UJAMAA TUTABAKI NYUMA SANA.
 
Na watanunuwa wenyewe bidhaa zao hatupendi dharau siye.

Hawa shenzi GSM ndio wakwepa kodi wakubwa kupitia ile kampuni yao ya Home shopping center, sasa wamejifanya kuifunga ile wameibukia huku, tutawamulika hukohuko.

Uzalendo kwanza.
Ndugu yngu gsm mall ya mcity so km kariakoo inawenyewe sidhan ww kususa unaeza kuwa na effect kwny biashara yao
 
Back
Top Bottom