Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
5-1 Mnadhaminiwa na GSM sio?Hizi teams ambazo hazidhamini na GSM huwa zinaiwekea sana ngumu Yanga. Na hasa kama hakuna wachezaji au kocha ambaye ni Yanga. Team inacheza kama vile inataka kupata sifa.
Mi nashauri ili tuendeleze ule ushindi wa 4,5,6 basi GSM apewe teams zote kudhamini. Maana kwenye huu umoja wa teams zinazodhaminiwa na GSM huwa mpira tunacheza vizuri bila kukamia.
Mi naona hayo tu.
Mtazikumbuka sana zile 5 za simba awamu hii. Na bado maana kule CAF ligi umeishia makundi, umebakiza ligi kuu tuAanze na simba kabisa
View attachment 3233085
Tunataka GSM apewe timu kwa kuanza na simba au wewe huoni mada inavyo taka?Mtazikumbuka sana zile 5 za simba awamu hii. Na bado maana kule CAF ligi umeishia makundi, umebakiza ligi kuu tu
Kwa ushauri tu ili mpunguze machungu, mtengeneze jezi kabisa za 5-1
Tena nguo za ndani yaani chupi.Kubadili makocha kama nguo ndo Kuna wa cost uto
Manura, Baka, Baleke, Chama. Hawa walijaa kwenye mfumo vizuri. Na Simba wakatupa Baleke na Chama. Manura yupo benchi Inonga Simba walimwacha. Ile mbona inafahamika. Wewe tu ndo hukuwa unajua.5-1 Mnadhaminiwa na GSM sio?
Unajitoa ufahamu.Manura, Baka, Baleke, Chama. Hawa walijaa kwenye mfumo vizuri. Na Simba wakatupa Baleke na Chama. Manura yupo benchi Inonga Simba walimwacha. Ile mbona inafahamika. Wewe tu ndo hukuwa unajua.
HaitatokeaTunataka GSM apewe timu kwa kuanza na simba au wewe huoni mada inavyo taka?
Waliwadhamini wachezaji na baadhi yao wamewanunua kabisa kama kabeji na wamedoda.5-1 Mnadhaminiwa na GSM sio?