changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Kwasasa kuna watu wanabaki kusonya sonya tu wengine kutoa visababu vya kujifariji, mara mashindano waliofeli, mara ooh Yanga imecheza na vibonde mara zinaletwa historia za miaka 47 huko lakini yote kwa yote msimu huu Yanga mpaka sasa ndio timu pekee iliyopata mafanikio zaidi kwa timu za ukanda wa Africa Mashariki na kati katika msimu hiu.
1) Yanga wakati msimu unaanza ndio timu iliyokuwa inaburuza mkia, alikuwa kapitwa hadi na Namungo. Yanga ilikuwa timu ya 75 kwenye rank za CAF lakini kutokana na kufika hatua ya fainali Yanga imepanda kwa nafasi 57 na hadi sasa timu ya Yanga ipo nafasi ya 18 wakiwa na point 20.
Kama Yanga inabeba kombe atapanda hadi nafasi ya 15 na kukusanya point 25 na atakuwa juu ya Al Hilal na Orlando pirates ambao wana point 24 na 23 . Ikumbukwe kuwa hawa Al Hilal ndio iliyomtoa Yanga na kwenda kucheza klabu bingwa hatua ya makundi lakini kupitia kombe la shirikisho Yanga inauwezo wa kumzidi Al Hilal endapo itabeba ubingwa wa shirikisho.
Je, nini faida ya hili kuelekea msimu mpya?
Yanga atacheza na timu zote mbili zote zitakuwa ni za rank za chini (vibonde) katika mechi za hatua za awali na pia mechi zake ataanzia ugenini.
2) Mafanikio ya pili kwenye ni kumbukumbu imeetengezwa na pia pesa imevuna, tunawaombea tu wachezaji, viongozi na benchi la ufundi waweze kutuletea kombe hili kwenye ardhi ya Tanzania.
Kuelekea msimu mpya kuna kazi nzito viongozi itawalazimu kufanya ambapo la kwanza ni ku maintain mafanikio ya klabu (consistency)
La pili ni kubakisha wachezaji muhimu wote pamoja na kocha. Kutokana na hatua ambayo Yanga imefikia, naona kuna dalili wachezaji wa Yanga kufikiwa na ofa kutoka timu mbali mbali mmojawapo atakuwa ni Mayele na kocha Nabi.
Ni wazi kuna wachezaji wengi ambao wanamzidi ubora na kiwango wachezaji wa Yanga akiwemo Mayele lakini kuanza na upya project inaweza kuwa ni risk kuliko kuundeleza pale ulipoishia, hivyo ni swala la kusahisha pale penye mapungufu ili kila sehemu pawe pako sawa kuliko kuuza siraha zako kadhaa na kununua silaha mpya wakati hakuna uhakika kama watakupa kitu kile kile au zaidi ya kile au ndio chini zaidi.
Ni swala la maslahi kwa wapambanaji na mashujaa wetu ndio kitu pekee kitakachowafanya waondoke au wabakie kwenye timu, tunawalinde mashujaa wanaonekana wanatufaa ili msimu ujao tukaweke historia kwenye klabu bingwa. Uwezekano wa kucheza makundi klabu bingwa mpaka sasa ni asilimia 65 kwa sababu kwa rank aliyokuwa Yanga kwa sasa anaenda kukutana na timu za kawaida kwenye hatua ya mtoano.
Mwisho, ni kwamba sakata la Feisal lina funzo kubwa sana katika maisha, na pengine hayo mafanikio yote yanatokea ili dogo aisome namba huko aliko, ndio kila kitu hutokea kwasababu. Je bila sakata la Feisal tungeona nyota iliyolala kipaji na uwezo mkubwa wa Mudathir? Hapana
Vipi kama huyu dogo alikuwa ni moja ya walifanya mvua isinyeshe hata kama kipindi cha mvua (masika) imefika lakini sasa mvua inanyesha na mazao yanastawi na kunawiri (mafanikio). Dogo pamoja ya haku changa ila Yanga sio wachoyo, atakula (atapewa medali yako) Ila kama kunyoshwa amenyoshwa haswa maana mechi ya Monastir vs Yanga alifurahi sana Yanga alivyofungwa goli mbili, akajipost akiwa anaonesha matokeo huku akiwa anacheka. Ila haya mafanikio ni uthibitisho tosha juu ya vingi alichokuwa anajiona kwa ukubwa wake na Yanga ikathibitisha kwa vitendo #Daima mbele nyuma mwiko