GSM kupitia Rais wa Yanga Eng. Hersi Said mmeiheshimisha sana Yanga kwa msimu huu, ila naona kuna kazi kubwa sana msimu ujao

GSM kupitia Rais wa Yanga Eng. Hersi Said mmeiheshimisha sana Yanga kwa msimu huu, ila naona kuna kazi kubwa sana msimu ujao

Haujui kuna mashindano ya wakubwa ya Super League yanakaribia?
Super league bado sana, super league inaenda samba samba na mashindano ya msimu mpya wa mwaka 2023/2024 mwezi wa nane huko. Kuna mapumziko kati ya miezi kadhaa
 
Upepo na njia mliyopitia ,sifa zikizid sana mnajiwekea wakat mgumu msimu ujao.
Itawapasa Sasa muonyeshe ubora wenu club bingwa Ili kuwaprove wrong wote wanaosema yanga katembelea upepo Kwa kukutana na timu zenye quality ndogo.

Swali je mtaweza ?
Yanga haijibizani na wapiga porojo. Msimu ujao Yanga hata wakifanya vizuri klabu bingwa makolo watakuja na na porojo zingine
 
Super league bado sana, super league inaenda samba samba na mashindano ya msimu mpya wa mwaka 2023/2024 mwezi wa nane huko. Kuna mapumziko kati ya miezi kadhaa
Haujui mipango ya timu. Watu wanapumzika siku mbili tatu wanarudi kwenye tizi, mwezi wa nane ni keshokutwa tu
 
Asa mdau huwa unashirikishwa kwenye mipango ya timu kiasi kwamba unafahamu kuwa timu itapumzika kwa siku mbili tu?
Wakati wewe unasema Simba wanafanya mazoezi ya kufa mtu, kwani haukumuona Chama akiwa mapumziko Zanzibar? Kwani alikaa siku ngapi?
 
Yanga ni timu kubwa hata akiondoka Mayele na Nabi still tutawashangaza wengi...
 
Tayari Nabi kaishasepa, maswala ya kusainishana mikataba ya muda mifupi imeiponza Yanga.
 
Tayari Nabi kaishasepa, maswala ya kusainishana mikataba ya muda mifupi imeiponza Yanga.
Mpaka nauona uhakika wa Yanga kupoteza mechi kama nne hivi kwa vipindi tofauti msimu ujao, wakati wakijaribu kujitafuta kwenye mfumo wa kocha mpya.
 
Back
Top Bottom