Super league bado sana, super league inaenda samba samba na mashindano ya msimu mpya wa mwaka 2023/2024 mwezi wa nane huko. Kuna mapumziko kati ya miezi kadhaaHaujui kuna mashindano ya wakubwa ya Super League yanakaribia?
Yanga haijibizani na wapiga porojo. Msimu ujao Yanga hata wakifanya vizuri klabu bingwa makolo watakuja na na porojo zingineUpepo na njia mliyopitia ,sifa zikizid sana mnajiwekea wakat mgumu msimu ujao.
Itawapasa Sasa muonyeshe ubora wenu club bingwa Ili kuwaprove wrong wote wanaosema yanga katembelea upepo Kwa kukutana na timu zenye quality ndogo.
Swali je mtaweza ?
Haujui mipango ya timu. Watu wanapumzika siku mbili tatu wanarudi kwenye tizi, mwezi wa nane ni keshokutwa tuSuper league bado sana, super league inaenda samba samba na mashindano ya msimu mpya wa mwaka 2023/2024 mwezi wa nane huko. Kuna mapumziko kati ya miezi kadhaa
Wewe ni Mangungu? au Mo Dewji? au Robertinho?au Try again?Haujui mipango ya timu. Watu wanapumzika siku mbili tatu wanarudi kwenye tizi, mwezi wa nane ni keshokutwa tu
Mdau tu!Wewe ni Mangungu? au Mo Dewji? au Robertinho?au Try again?
Asa mdau huwa unashirikishwa kwenye mipango ya timu kiasi kwamba unafahamu kuwa timu itapumzika kwa siku mbili tu?Mdau tu!
Wakati wewe unasema Simba wanafanya mazoezi ya kufa mtu, kwani haukumuona Chama akiwa mapumziko Zanzibar? Kwani alikaa siku ngapi?Asa mdau huwa unashirikishwa kwenye mipango ya timu kiasi kwamba unafahamu kuwa timu itapumzika kwa siku mbili tu?
Wapo mazoezi wanakimbiakimbiaVipi maandalizi ya mechi ilizobakia Simba inaendeleaje?
Wote simba na Yanga wamefeli ndoto zao za awaliMbona mkuu mlichoma uwanja wa watu kule South ili mwingie nusu fainali?
JidanganyeYanga ni timu kubwa hata akiondoka Mayele na Nabi still tutawashangaza wengi...
Mpaka nauona uhakika wa Yanga kupoteza mechi kama nne hivi kwa vipindi tofauti msimu ujao, wakati wakijaribu kujitafuta kwenye mfumo wa kocha mpya.Tayari Nabi kaishasepa, maswala ya kusainishana mikataba ya muda mifupi imeiponza Yanga.