GSM kutoa zawadi ya 10,mil kwa kila point 3 Yanga

Smba pia mtafungwa goli la aina hiyo mpaka mrudie utaratibu wenu wa kuvunja viti uwanjani...tehtehtehtehtehteh...subirini mshuhudie hiyo Januari...
Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5 tutakazowakung'uta nazo si haba kwani ndio tunaandaa ticket ya Zuhura wao
 
Yanga itafungwa goli hizo ikiwa kutakuwepo na hujuma ndani ya wanayanga wenyewe kama ilivyotokea kwa zile tano za miaka mmichache iliyopita...Mtu mmoja wakati huo alidhamiria kumuondoa Mwenyekiti Nchunga na akafanya mpango goli tano zifungwe...siku tatu baadaye Nchunga akaachia ngazi...All things being equal Simba haiwezi kuifunga Yanga goli tano....hata msimu uliopita wakati Yanga ikiwa haina kitu kimaslahi mechi ya kwanza 0-0 na mechi ya pili 1-0 in favour of Simba..kwa hiyo acheni ndoto za 5-0 ..haitatokea...Ila ni kweli ifikapo Januari Yanga nadhani itakuwa imeshajipanga...hofu yangu ni kuwa TFF ambayo imejaa wanasimba watafanya marekebisho na mechi kuchezwa Novemba....tungojee tuone...
 
Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5 tutakazowakung'uta nazo si haba kwani ndio tunaandaa ticket ya Zuhura wao
Tuwekeane Dau Mkuu. Mi nasema hata bao moja tu kutufunga itakuwa shughuli.
 
Tafadhali

sana mkuu utadhalilika. Kwa yanga ipi inayokutia kiburi hivi
Kudhalilika kiaje?

Labda nikwambie game za Simba na Yanga huwa hazitabiriki kirahisi namna hiyo eti kwamba mtafunga tano. 😳😳

Labda toka TPL msimu wa 2019 / 2020 ianze nani umemfunga hizo bao 5?
 
Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
ila kweli mkuu mara nyingi team inayovaa jersey nyekundu ni balaa tupu, muangalie liver, simba, redbull salzaburg, man u wa enzi zile etc
 
Japo upepo hautabiriki hilo nalo limejidhihirisha
 
msimu huu hawa Vyura fc ni kama Manure kwenye EPL!
 
Back
Top Bottom