Unamjua Gharib au unasikia tu
Ukiona hivyo toka aanze kuwa miongoni mwa wadhamini wa Yanga kaona biashara yake imejiboost ndio anaongezea booster nyingineIla naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?
Ikibidi Mtani. Japo sidhani kama inatolewa kwa matumizi hayo.Ili mlipe mishahara ya wachezaji mapema
Timu inayoongoza kufunga magoli ya ajabu ajabu na ya bahati nasibu
Ila wakiitwa wapiga ramli Mtani mnaongoza. 😜😜😜Ili mlipe mishahara ya wachezaji mapema
Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5 tutakazowakung'uta nazo si haba kwani ndio tunaandaa ticket ya Zuhura waoSmba pia mtafungwa goli la aina hiyo mpaka mrudie utaratibu wenu wa kuvunja viti uwanjani...tehtehtehtehtehteh...subirini mshuhudie hiyo Januari...
🙏🙏 Likiwa ni jambo lisilo na kona kona ni dhahiri wachezaji watakuwa wanajituma sababu mwisho wa mechi wanajua mifuko itatuna.Bora wewe umetoa tahadhari mapeeema.
Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5 tutakazowakung'uta nazo si haba kwani ndio tunaandaa ticket ya Zuhura wao
Tuwekeane Dau Mkuu. Mi nasema hata bao moja tu kutufunga itakuwa shughuli.Nawapongeza sana TFF kwa moyo wa huruma waliouonesha kwa ndg zetu gongowazi. Laiti mechi ya Simba na Yanga zingechezwa mwanzoni mwanzoni mwa msimu huu wa ligi bila shaka zile goli8 tulizowapiga coastal msimu uliopita basi zingejirudia kwa hawa ndugu zetu. Ila sio mbaya sana hizo 5 tutakazowakung'uta nazo si haba kwani ndio tunaandaa ticket ya Zuhura wao
sana mkuu utadhalilika. Kwa yanga ipi inayokutia kiburi hiviTuwekeane Dau Mkuu. Mi nasema hata bao moja tu kutufunga itakuwa shughuli.
Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
Hebu tuwacheni. 😎😂Hapana chezea kabisa mkuu🤣🤣🤣
Kudhalilika kiaje?Tafadhali
sana mkuu utadhalilika. Kwa yanga ipi inayokutia kiburi hivi
ila kweli mkuu mara nyingi team inayovaa jersey nyekundu ni balaa tupu, muangalie liver, simba, redbull salzaburg, man u wa enzi zile etcRangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
Wanasemaga kunywa maji kwanza.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu tuwacheni. [emoji41][emoji23]
Japo upepo hautabiriki hilo nalo limejidhihirishaila kweli mkuu mara nyingi team inayovaa jersey nyekundu ni balaa tupu, muangalie liver, simba, redbull salzaburg, man u wa enzi zile etc
Utakatishaji wa hela!!!Ila naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?