GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit.
Swali la msingi Ni je GSm wamewahi kuzalisha jezi na vifaa vya michezo?
Wengi tunajua GSM Wana maduka makubwa ya nguo za kawaida.
Au ndo Yanga wamelipa fadhila za zile milioni 300 kwenye harambee?
 
Wanaweza vizuri sana, elewa GSM ni nembo tu ya uwakilishi, kwani Wanaweza kushirikiana na makampuni mengine ya utengenezaji hivyo vifaa. GSM wanatengeneza na wanasambaza vitu vingi sana, sio nguo tu, kuna magodoro, pikipiki, vifaa vya ujenzi, n. k.
 
cjawai ona product mbovu za GSM ni viwango mwanzo mwisho

nashauri pia yanga wawape na tenda ya nyavu za uvuvi,,wakati wa mafuriko huwa kuna samaki wengi aina ya kamabare itasaidia kiongeza mapato.
 
Yaan wewe ni bibi hindu fc unauliza uwezo wa kampun ambayo inatengeneza jezi za yanga? kwanini usiulize jezi zenu za kilomon fc
Jezi za Simba zinatengenezwa na unisports
 
Tatizo ni nembo ya GSM ni nyekunduu nakumbuka kulikuwa na utata wa nembo ya vodacom alivyokuwa mdhamini wa ligi ... sasa sijui sasa hili vuguvugu...
 
Hapo GSM anaenda kuingia mkataba unsport zitakuwa kama za Simba
 
GSM Wana Kiwanda Wapi?
China Ama Mkuranga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…