GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Klabu ya Yanga Leo imetangaza kuwa kampuni ya GSM imeshinda tenda ya kuzalisha na kusambaza vifaa ya Yanga kuanzia jezi rasmi ,za mazoezi, skafu na tracksuit.
Swali la msingi Ni je GSm wamewahi kuzalisha jezi na vifaa vya michezo?
Wengi tunajua GSM Wana maduka makubwa ya nguo za kawaida.
Au ndo Yanga wamelipa fadhila za zile milioni 300 kwenye harambee?
Inst-image-4.jpeg
 
Wanaweza vizuri sana, elewa GSM ni nembo tu ya uwakilishi, kwani Wanaweza kushirikiana na makampuni mengine ya utengenezaji hivyo vifaa. GSM wanatengeneza na wanasambaza vitu vingi sana, sio nguo tu, kuna magodoro, pikipiki, vifaa vya ujenzi, n. k.
 
cjawai ona product mbovu za GSM ni viwango mwanzo mwisho

nashauri pia yanga wawape na tenda ya nyavu za uvuvi,,wakati wa mafuriko huwa kuna samaki wengi aina ya kamabare itasaidia kiongeza mapato.
 
Tatizo ni nembo ya GSM ni nyekunduu nakumbuka kulikuwa na utata wa nembo ya vodacom alivyokuwa mdhamini wa ligi ... sasa sijui sasa hili vuguvugu...
 
Hapo GSM anaenda kuingia mkataba unsport zitakuwa kama za Simba
 
Back
Top Bottom