GSM kuzalisha na kusambaza jezi za Yanga

Team ya wananchi iliyo chini ya wananchi inafanya mambo yaķe kitaaĺam zaidi

Aisee nazidi kuipenda hii team
 
cjawai ona product mbovu za GSM ni viwango mwanzo mwisho

nashauri pia yanga wawape na tenda ya nyavu za uvuvi,,wakati wa mafuriko huwa kuna samaki wengi aina ya kamabare itasaidia kiongeza mapato.
Uko nje ya Mada mkuu. Au ni uwezo wa kijenga hoja huna?
 
Tatizo ni nembo ya GSM ni nyekunduu nakumbuka kulikuwa na utata wa nembo ya vodacom alivyokuwa mdhamini wa ligi ... sasa sijui sasa hili vuguvugu...
Sio nyekundu..maroon(damu ya mzee)
 
Nipo moro hapa nawaona jamaa kwenye shamba la mihogo,ngoja niwasogelee nikawape hata haya maji yangu ya chupa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…