Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzaniakwa dunia ya leo hauhitaji kuwa na kiwanda kuzalisha bidhaa,wanafanya outsourcing
Anataka Viwanda
Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzaniakwa dunia ya leo hauhitaji kuwa na kiwanda kuzalisha bidhaa,wanafanya outsourcing
Uko nje ya Mada mkuu. Au ni uwezo wa kijenga hoja huna?cjawai ona product mbovu za GSM ni viwango mwanzo mwisho
nashauri pia yanga wawape na tenda ya nyavu za uvuvi,,wakati wa mafuriko huwa kuna samaki wengi aina ya kamabare itasaidia kiongeza mapato.
Jezi zao naona zitakuwa na nakshi ya magodoro kwenye bukta za wachezaji hivyo kuwafanya wawe na misambwanda mikubwa.
Sio nyekundu..maroon(damu ya mzee)Tatizo ni nembo ya GSM ni nyekunduu nakumbuka kulikuwa na utata wa nembo ya vodacom alivyokuwa mdhamini wa ligi ... sasa sijui sasa hili vuguvugu...
Acha kutumia ugoroJezi zao naona zitakuwa na nakshi ya magodoro kwenye bukta za wachezaji hivyo kuwafanya wawe na misambwanda mikubwa.
Sio nyekundu..maroon(damu ya mzee)