Kwani Contract yao walisema timu 15 au timu zote zinazoshiriki ligi kuu?
Kama walilenga timu zote why hao GSM wawatume akina Manara kuikejeri Simba live live namna Ile ?
Huu mkataba ulikua na Mambo ndani yake .
Yaan GSM alikuja na mkataba kwa malengo mengi Sana ,Kwanza alikuja na mkataba lengo alikua Simba awatangaze kimataifa ,hapo hapo huo mkataba uliletwa kuzima ishu ya Morrison kushinda kesi huko cas, pia huo mkataba uliletwa Kama showoff fulan kuwa GSM hawashindwi kitu.
Sasa ukizingatia pale Simba Kuna watu smart Sana kimba limewarudia wao na uhuni wao.
Tokea lini ukawa mfanyabiashara alafu hapo hapo uanze kumdharau mteja wako na utegemee atanunua bidhaa yako!! Kama sio ujinga Ni Nini.
Kosa kubwa zaidi wakat wa press ya kutangaza huo udhamin hao GSM wakawaweka Frontline manara na injinia na kulifanya Hilo Jambo Ni la Yanga.
Huo ndio upimbi ambao ulifanywa na Watu ambao nilijua Ni watu smart Sana kwenye mambo ya Biashara .
Hata Mimi tu nisie mfanyabiashara wa level hizo siwez fanya ujinga wa kiwango hicho.
Wajilaumu wenyew kwa ujuaji wa kishamba ,Karne hii watu Ni wasomi na welevu ,unapotaka kuwatumia lazima utumie mbinu za kimafia alafu za kimya kimya.
Yaan unamtumia mtu had anakuja shtuka wewe ushapiga hatua ndefu.