GSM: Kwa makusudi Nembo yetu tumenyimwa haki ya kuonekana kwenye Jezi za Simba SC

Usione kuwa kuna ubaguzi hapo, mbona wamepita akina Manji na Azim, mbona hamkusema timu zimeingiliwa?

Huo unauleta ni ubaguzi aisee..Tenda haki kama wengine uone kama utasemwa.

Mmetengenezewa chuki wenyewe kwa wenyewe kwani mnajiona basi kama kuna shida, mkichukiana wao kwao ni neema
 
Mmetengenezewa chuki wenyewe kwa wenyewe kwani mnajiona basi kama kuna shida, mkichukiana wao kwao ni neema
Nadhani mkuu hapo utakuwa umeumia sana kuhusu hii ya GSM, ndo ukajikita kwenye Ubaguzi, lakini tafakari mbona kuna wadhamini wengine NBC, Azam Tv walishirikisha vilabu vyote na hakuna malalamiko?
 
Nadhani mkuu hapo utakuwa umeumia sana kuhusu hii ya GSM, ndo ukajikita kwenye Ubaguzi, lakini tafakari mbona kuna wadhamini wengine NBC, Azam Tv walishirikisha vilabu vyote na hakuna malalamiko?
20bilion kama share ya kanjibai ipo kwenye akaunti gani? Na bado anapokea gawio mmezubaishwaaa hata hamjui
 
Nadhani mkuu hapo utakuwa umeumia sana kuhusu hii ya GSM, ndo ukajikita kwenye Ubaguzi, lakini tafakari mbona kuna wadhamini wengine NBC, Azam Tv walishirikisha vilabu vyote na hakuna malalamiko?
Wala sijaumia ila nawakumbusha tu kumbukeni simba ni yenu watanzania,
 
20bilion kama share ya kanjibai ipo kwenye akaunti gani? Na bado anapokea gawio mmezubaishwaaa hata hamjui
Hilo kitambo lilishajibiwa na M/Kiti wa Simba SC.
 
Pia mbumbu siyo mimi by Rage.
 
Nimemuonesha Aden Rage hii post yako amecheka hadi machozi.
 
Kwani Contract yao walisema timu 15 au timu zote zinazoshiriki ligi kuu?
Kama walilenga timu zote why hao GSM wawatume akina Manara kuikejeri Simba live live namna Ile ?
Huu mkataba ulikua na Mambo ndani yake .
Yaan GSM alikuja na mkataba kwa malengo mengi Sana ,Kwanza alikuja na mkataba lengo alikua Simba awatangaze kimataifa ,hapo hapo huo mkataba uliletwa kuzima ishu ya Morrison kushinda kesi huko cas, pia huo mkataba uliletwa Kama showoff fulan kuwa GSM hawashindwi kitu.
Sasa ukizingatia pale Simba Kuna watu smart Sana kimba limewarudia wao na uhuni wao.
Tokea lini ukawa mfanyabiashara alafu hapo hapo uanze kumdharau mteja wako na utegemee atanunua bidhaa yako!! Kama sio ujinga Ni Nini.

Kosa kubwa zaidi wakat wa press ya kutangaza huo udhamin hao GSM wakawaweka Frontline manara na injinia na kulifanya Hilo Jambo Ni la Yanga.

Huo ndio upimbi ambao ulifanywa na Watu ambao nilijua Ni watu smart Sana kwenye mambo ya Biashara .
Hata Mimi tu nisie mfanyabiashara wa level hizo siwez fanya ujinga wa kiwango hicho.
Wajilaumu wenyew kwa ujuaji wa kishamba ,Karne hii watu Ni wasomi na welevu ,unapotaka kuwatumia lazima utumie mbinu za kimafia alafu za kimya kimya.
Yaan unamtumia mtu had anakuja shtuka wewe ushapiga hatua ndefu.
 
Hao GSM ni matapeli tu, hawana maana wanajipendekeza Msimbazi ila hatuna habari nao.
 
Timu yenu imeingiliwa na makanjibai mnajiona mna akili, ndiyo maana ilikua rahisi sana kumtawala muafriaka kiukoloni, maana wenyewe kwa wenyewe hampendani
GSM Ni black people[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Kwani Contract yao walisema timu 15 au timu zote zinazoshiriki ligi kuu?
Kwahiyo NBC wao waliingia mkataba ambao timu zote 15 logo ya NBC itakuwa na rangi nyekundu ila Utopolo wao ndio wlitakiwa wavae yenye rangi ya njano sio. Sikuzote nasema wanaoaribu soka letu ni washabiki, viongozi wao hawanashida wanajipigia tu pesa life lao na familia linaendelea
 
20+25+20 = 85 (Mo Dewj, 2022)

Great mathematician!
 
Et unataka simba wakutangazie biashara yako huku mwajiriwa wako anaandika upupu kama huu , hivi hi kampuni ya Gsm inaendeshwaje? mbona kama ni wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…