Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Wanasubiri mipaka ifunguliwe wakati wenzao vyuma vinaingiaWahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba...
Vuta subira utajua GSM ni akina nani,kwa sasa jifurahishe,wakati ukifika utashangaa mwenyeweWahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba...
Wew ndo unawashindanisha but kila mmoja anaangalia maslah take hapo hatuweze weka vigezo kwa Mo anaisaidia simba na bila yeye simba isinge kuwepo?Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba..
Kwa systematic ipMkuu si ni maamuzi tu..., kama unaona vipi wameshindwa si na wewe unaweza kuendelea pale walipoishia ?, Ni rahisi sana kupangiana matumizi ya pesa...,
Ukipeleka pesa zako za ufadhili watazikataa ?, Na haya mambo yakutegemea tajiri fulani afanye kitu fulani mwisho wake ni timu kuwa omba omba..., njia nyepesi invest kwenye home grown talent ni cheaper...Kwa systematic ip
mbona simba mnawaogopa sana GSM[emoji3]Inavyoonekana GSM wako yanga kisiasa zaidi kuliko kimpira, nazani lengo ni kuwapoza washabiki wa yanga zidi ya jiwe aliyemfanyia figisu manji mpaka akatimka, maana yanga wakati ya manji ilikuwa imetulia kiasi fulani, sasa baada jiwe kustuka kwamba ameiharibu yanga akataka kubalance kwa kutaka kumfanyia figusu Mo, ila kwa simba ilishindikana nazani Ile mikataba ilichangia, sasa inavyoonekana hawa jamaa GSM kawekwa kuzuga ili kuwapoza washabiki wa utopolo wasipige kura ya hasira kwa jiwe, maana yeye ndiye aliyefanya yanga iwe dhaifu kwa kiwango hiki.
mbona simba mnawaogopa sana GSM[emoji3]
Kwanza who's buying hizo mattress zao naziona kwa picha tu, kwa dealers hata hazikoTunawaogopa Wauza Magodoro na masufuria
Hivi tukiulizana humu wangapi wamenunua magodoro sidhani watapatikana hata watano halafu ndio apate pesa za kushindana na SimbaTunawaogopa Wauza Magodoro na masufuria
umezoea midosho vitu vyenye level za international quality kama vya GSM tuachie sisi.Kwanza who's buying hizo mattress zao naziona kwa picha tu, kwa dealers hata haziko
Kwanza who's buying hizo mattress zao naziona kwa picha tu, kwa dealers hata haziko
Hivi tukiulizana humu wangapi wamenunua magodoro sidhani watapatikana hata watanonhalafu ndio apate pesa za kushindana na Simba
umezoea midosho vitu vyenye level za international quality kama vya GSM tuachie sisi.
wewe ndiyo unachekesha sababu unaponda kitu usichokielewa.Acha basi kutuchekesha hapa!