GSM ni wababaishaji tu hawana lolote

GSM ni wababaishaji tu hawana lolote

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao. Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba.

Niseme tu kuwa GSM hawawezi tena kushindana na Simba. Wanachotakiwa kufanya ni kukubali kuwa underdog. Wanachotakiwa kufanya ni kusajili wachezaji wa ndani wenye ubora wanaoweza kuwalipa mshahara na waongeze wachezaji wachache wa kigeni.

Kupambana na Simba ya MO ni kupoteza muda.
 
117809754_3256140961140422_2262248303930281005_o.jpg
 
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba...
Wanasubiri mipaka ifunguliwe wakati wenzao vyuma vinaingia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba...
Vuta subira utajua GSM ni akina nani,kwa sasa jifurahishe,wakati ukifika utashangaa mwenyewe
 
Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao.Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba..
Wew ndo unawashindanisha but kila mmoja anaangalia maslah take hapo hatuweze weka vigezo kwa Mo anaisaidia simba na bila yeye simba isinge kuwepo?

Au GSM wanaisaodia yanga he bila wao yanga isinge kuwepo? Jibu ni hapana Simba na Yanga zilikuwepo kabla ya hao wote na zitaendelea kuwepo hata hapo wakiondoka
 
Mkuu si ni maamuzi tu..., kama unaona vipi wameshindwa si na wewe unaweza kuendelea pale walipoishia ?, Ni rahisi sana kupangiana matumizi ya pesa...,
 
Kwa systematic ip
Ukipeleka pesa zako za ufadhili watazikataa ?, Na haya mambo yakutegemea tajiri fulani afanye kitu fulani mwisho wake ni timu kuwa omba omba..., njia nyepesi invest kwenye home grown talent ni cheaper...
 
Inavyoonekana GSM wako yanga kisiasa zaidi kuliko kimpira, nazani lengo ni kuwapoza washabiki wa yanga zidi ya jiwe aliyemfanyia figisu manji mpaka akatimka, maana yanga wakati ya manji ilikuwa imetulia kiasi fulani, sasa baada jiwe kustuka kwamba ameiharibu yanga akataka kubalance kwa kutaka kumfanyia figusu Mo, ila kwa simba ilishindikana nazani Ile mikataba ilichangia, sasa inavyoonekana hawa jamaa GSM kawekwa kuzuga ili kuwapoza washabiki wa utopolo wasipige kura ya hasira kwa jiwe, maana yeye ndiye aliyefanya yanga iwe dhaifu kwa kiwango hiki.
 
mbona simba mnawaogopa sana GSM[emoji3]
 
Kwanza who's buying hizo mattress zao naziona kwa picha tu, kwa dealers hata haziko
umezoea midosho vitu vyenye level za international quality kama vya GSM tuachie sisi.
 
Back
Top Bottom