famba 06
Senior Member
- Dec 28, 2018
- 134
- 127
NeNda wewe kawekezeWahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao. Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba.
Niseme tu kuwa GSM hawawezi tena kushindana na Simba. Wanachotakiwa kufanya ni kukubali kuwa underdog. Wanachotakiwa kufanya ni kusajili wachezaji wa ndani wenye ubora wanaoweza kuwalipa mshahara na waongeze wachezaji wachache wa kigeni.
Kupambana na Simba ya MO ni kupoteza muda.