GSM ni wababaishaji tu hawana lolote

GSM ni wababaishaji tu hawana lolote

Wahenga walisema," Mwache muongo akuongoze ili mwishoni aumbuke". GSM Walidhani wanaweza kuendelea na uongo wao. Walidanganya kuhusu kumuongeza mkataba Shishimbi, na Morrison mwisho wameumbuka. Sasa kila mchezaji wanaemtaja kuwa watamsajili ghafla anaonekana Msimbazi. Ni dhahiri kusema GSM wamekuwa mawakala wa Simba. Walimleta Morrison leo yuko Simba.

Niseme tu kuwa GSM hawawezi tena kushindana na Simba. Wanachotakiwa kufanya ni kukubali kuwa underdog. Wanachotakiwa kufanya ni kusajili wachezaji wa ndani wenye ubora wanaoweza kuwalipa mshahara na waongeze wachezaji wachache wa kigeni.

Kupambana na Simba ya MO ni kupoteza muda.
NeNda wewe kawekeze
 
wewe ndiyo unachekesha sababu unaponda kitu usichokielewa.

Katika International Brands za Magodoro GSM ipo? Haya Magodoro fake ndiyo yawe Katika International level? Unaifahamu Sealy,,Maxpedic na nyinginezo! Utopolo mna kazi sana ya kutetea GSM,ndio maana hata minguo yao milonya unafua mara moja tu kwisha habari!
 
  • Thanks
Reactions: Tui

acha kuchafua biashara za watu kisa usimba na uyanga! huo ushabiki umekuingizia kiasi gan wewe boya!
 
Vuta subira utajua GSM ni akina nani,kwa sasa jifurahishe,wakati ukifika utashangaa mwenyewe
Wabongo kwa kuishi kwa matumaini hamjambo.

No wonder baada ya miaka 60 bado mnaamini CCM italeta maendeleo.

Kumbuka.

🙂 Wali wa kushiba huonekana kwenye sahani.

🙂 Dalili ya mvua ni mawingu.
 
Jiwe hahusiki na figisu za mpira ,manji alikutana na kesi si kila kitu ni siasa
Inavyoonekana GSM wako yanga kisiasa zaidi kuliko kimpira, nazani lengo ni kuwapoza washabiki wa yanga zidi ya jiwe aliyemfanyia figisu manji mpaka akatimka, maana yanga wakati ya manji ilikuwa imetulia kiasi fulani, sasa baada jiwe kustuka kwamba ameiharibu yanga akataka kubalance kwa kutaka kumfanyia figusu Mo, ila kwa simba ilishindikana nazani Ile mikataba ilichangia, sasa inavyoonekana hawa jamaa GSM kawekwa kuzuga ili kuwapoza washabiki wa utopolo wasipige kura ya hasira kwa jiwe, maana yeye ndiye aliyefanya yanga iwe dhaifu kwa kiwango hiki.
 
Jiwe hahusiki na figisu za mpira ,manji alikutana na kesi si kila kitu ni siasa
mkuu kuna watu wanamchafua sana Raisi wetu kwenye hii tasnia ya michezo, kuna hili neno wanajiita watu wa system, simba wanajitapa kuwa kuna watu wa system wanawasapoti pia pale TFF watu wanavurunda kila siku wanaachwa kwa kujificha kuwa wamewekwa na system!

Ifike mahala Raisi wetu achungulie huku kwenye soka, kuna watu wanajiona hawagusiki.
 
Mkuu ligi ya bongo imetawaliwa na Simba na Yanga,TFF hadi bodi ya ligi na kamati zake ,kwa maana kila term either Rais wa TFF awe simba au Yanga the same bodi ya ligi na kamati zake ,kumbuka wakati wa Jamal Malinzi alivyokuwa anaibeba Yanga na ndo wakati huo Manji yupo,the same sasa hivi kuna Karia ,hadi vilabu vingine kama azam humo humo kuna vichembe vya yanga na simba ,ukija kwa marefa ndo hivo hivo wanaendeshwa na mahaba ,soka ya bongo inaangalia ni nani ni Rais wa TFF kwa wakati huo

Hapa ndiyo panatakiwa mabadiliko! kama ikiendelea hivi hatutapata bingwa kwa haki, ningependa kuona timu bora ndiyo iwe bingwa haijalishi iwe Ihefu au namungo.
 
Hiyo system ni ngumu kuisha maana hata timu zingine zinaabudu simba na yanga
Hapa ndiyo panatakiwa mabadiliko! kama ikiendelea hivi hatutapata bingwa kwa haki, ningependa kuona timu bora ndiyo iwe bingwa haijalishi iwe Ihefu au namungo.
 
acha kuchafua biashara za watu kisa usimba na uyanga! huo ushabiki umekuingizia kiasi gan wewe boya!

Sasa kwani siyo kweli minguo yao ni lonya,unanunua t-shirt ya mtoto akivaa mara moja tu ukifua shingo inatanuka hadi mabegani! Zile Pyjamas sasa ni kituko! Hebu tupishe hapa Utopolo
 
Back
Top Bottom