Wewe simba unaumiaNilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
Yap,kule atapiga mpunga mrefu na kwa jinsi alivyo kwenye press ya kukaribishwa tyr keshajiona mkubwa kuliko club.Huko atalamba mshahara zaidi ya ule wa simba
Wacha apige pesa aisehhhYap,kule atapiga mpunga mrefu na kwa jinsi alivyo kwenye press ya kukaribishwa tyr keshajiona mkubwa kuliko club.
Kasema kaitengeneza Simba mpaka pale ilipofikia, sasa ataitengeneza Yanga iwe kubwa zaidi....Yap,kule atapiga mpunga mrefu na kwa jinsi alivyo kwenye press ya kukaribishwa tyr keshajiona mkubwa kuliko club.
Kasema kama maneno tu,fact ni kwamba Haji atanufaika zaidi yeye kuliko club,pia na gsm watanufaika zaidi kwasababu Haji kwenye brand na masoko hakika yuko vizuri.Kasema kaitengeneza Simba mpaka pale ilipofikia, sasa ataitengeneza Yanga iwe kubwa zaidi....
Mjinga yule .Yanga ni Brand tayari ndo maana kaja Yanga na si kwenda Azam. Sema kaja Yanga ili aendelee kuwa juu na matangazo yaendelee kumfuata.Kasema kaitengeneza Simba mpaka pale ilipofikia, sasa ataitengeneza Yanga iwe kubwa zaidi....
Hao Wengine Kesho WanatambulishwaYanga walikuwa wanamsubiri morison na miquissone wamepewa manara
hahahahha
Pale lazma asaini hela ndefu lazma wataona aibu kumpa ile ile 4M wanaweza mtia 7M kwa mwezi😅😅😅Wacha apige pesa aisehhh
Watanzania tuna ujinga sana!! Kwenye branding na market yuko vizuri kwa kigezo kipi?!amesoma chuo gani?! Kabla ya MO kuja Simba kuwaleta wakina chama, Boko,manula,kapombe,bwalya n.k uyo manala haliwahi kufanya nn?! hapo Simba!! Huo ubora wake ulisubili MO afanye uwekezaji ndio uonekane?!! Tanzania wajinga hamtaishaKasema kama maneno tu,fact ni kwamba Haji atanufaika zaidi yeye kuliko club,pia na gsm watanufaika zaidi kwasababu Haji kwenye brand na masoko hakika yuko vizuri.