GSM nimeamini wako pale yanga kufanya biashara zao tu sidhani kama wataiendeleza ile team

GSM nimeamini wako pale yanga kufanya biashara zao tu sidhani kama wataiendeleza ile team

Kasema kaitengeneza Simba mpaka pale ilipofikia, sasa ataitengeneza Yanga iwe kubwa zaidi....
Kasema kama maneno tu,fact ni kwamba Haji atanufaika zaidi yeye kuliko club,pia na gsm watanufaika zaidi kwasababu Haji kwenye brand na masoko hakika yuko vizuri.
 
Kasema kama maneno tu,fact ni kwamba Haji atanufaika zaidi yeye kuliko club,pia na gsm watanufaika zaidi kwasababu Haji kwenye brand na masoko hakika yuko vizuri.
Watanzania tuna ujinga sana!! Kwenye branding na market yuko vizuri kwa kigezo kipi?!amesoma chuo gani?! Kabla ya MO kuja Simba kuwaleta wakina chama, Boko,manula,kapombe,bwalya n.k uyo manala haliwahi kufanya nn?! hapo Simba!! Huo ubora wake ulisubili MO afanye uwekezaji ndio uonekane?!! Tanzania wajinga hamtaisha
 
Back
Top Bottom