GSM nimeamini wako pale yanga kufanya biashara zao tu sidhani kama wataiendeleza ile team

Jinga kabisa wewe kima.
 
Pale lazma asaini hela ndefu lazma wataona aibu kumpa ile ile 4M wanaweza mtia 7M kwa mwezi[emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa je?
Pesa ndefu hyo unaiachaje?
Unadhani cku akirudi Simba atalipwa tena ngap ?

Lazima uwe kama kinyonga budaaa[emoji16]

Wacha atengeneze pesa

Manara ni Brand
 
Nilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
Naona kabla ya msimu kuisha kuna timbwili litatokea utopoloni
 
Makelele FC povu....[emoji16]

Wimbo: "Mtanitambuaje kama ni mbumbumbu × 2 ....[emoji3526]
 
[emoji16][emoji119]
 
Yanga washaamini haji anawapa ubingwa.

Habari ya walichokifanya morocco hakipo tena.

Haji ajiandae tu, yanga wanapiga mawa, yanga wanapiga bakora.

Nao mashabiki wa yanga wajiandae tu na michambo ya huyu jamaa.
 
Nilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
Acha akaitumikie ila wawe Makini sana na huyu mtu.
Watu kama hawa wanatabia ya kurudi wakikotoka mfano mzuri ni Lowassa.
 
Hivi Manara anacheza namba ngapi?mpaka mijitu ijitoe ufahamu ya kuwa watachukua UbInGwA?,mpira ni uwekezaji (pesa)siyo Janja Janja na blaablaaa ya kupiga kambi ya siku tano.Halafu unawadanganya fans wako kwa kumleta MaNaRa na kuwapa furaha ya bandia.Utopolo kumbukeni mna mechi ya klabu bingwa,mnatumia nguvu kubwa kutaka kuujaza uwanja siku ya mwananchi wa JaNgWani.Maandalizi ya kucheza na River United hamna, mnafeli Sana [emoji196][emoji196][emoji196]wa JaNgWani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…