GSM nimeamini wako pale yanga kufanya biashara zao tu sidhani kama wataiendeleza ile team

GSM nimeamini wako pale yanga kufanya biashara zao tu sidhani kama wataiendeleza ile team

Watanzania tuna ujinga sana!! Kwenye branding na market yuko vizuri kwa kigezo kipi?!amesoma chuo gani?! Kabla ya MO kuja Simba kuwaleta wakina chama, Boko,manula,kapombe,bwalya n.k uyo manala haliwahi kufanya nn?! hapo Simba!! Huo ubora wake ulisubili MO afanye uwekezaji ndio uonekane?!! Tanzania wajinga hamtaisha
Jinga kabisa wewe kima.
 
Nilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
Naona kabla ya msimu kuisha kuna timbwili litatokea utopoloni
 
Watanzania tuna ujinga sana!! Kwenye branding na market yuko vizuri kwa kigezo kipi?!amesoma chuo gani?! Kabla ya MO kuja Simba kuwaleta wakina chama, Boko,manula,kapombe,bwalya n.k uyo manala haliwahi kufanya nn?! hapo Simba!! Huo ubora wake ulisubili MO afanye uwekezaji ndio uonekane?!! Tanzania wajinga hamtaisha
Makelele FC povu....[emoji16]

Wimbo: "Mtanitambuaje kama ni mbumbumbu × 2 ....[emoji3526]
 
Wajinga hamuezi kuisha ndio watanzania wengi mlivyo ndio maana tumekwama hapa tulipo..tukana upunguze stress tozo na maisha yako magumu lazima uchanganyikiwe,shikilia vizuri mfuko wa shati vizuri usije kudondosha mia nne ya nauli ukalala kkoo shimoni.
[emoji16][emoji119]
 
Yanga washaamini haji anawapa ubingwa.

Habari ya walichokifanya morocco hakipo tena.

Haji ajiandae tu, yanga wanapiga mawa, yanga wanapiga bakora.

Nao mashabiki wa yanga wajiandae tu na michambo ya huyu jamaa.
 
Nilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
Acha akaitumikie ila wawe Makini sana na huyu mtu.
Watu kama hawa wanatabia ya kurudi wakikotoka mfano mzuri ni Lowassa.
 
Hivi Manara anacheza namba ngapi?mpaka mijitu ijitoe ufahamu ya kuwa watachukua UbInGwA?,mpira ni uwekezaji (pesa)siyo Janja Janja na blaablaaa ya kupiga kambi ya siku tano.Halafu unawadanganya fans wako kwa kumleta MaNaRa na kuwapa furaha ya bandia.Utopolo kumbukeni mna mechi ya klabu bingwa,mnatumia nguvu kubwa kutaka kuujaza uwanja siku ya mwananchi wa JaNgWani.Maandalizi ya kucheza na River United hamna, mnafeli Sana [emoji196][emoji196][emoji196]wa JaNgWani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Back
Top Bottom