Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Manara ni brand tayari, ndio maana tunamjadili hapa. Simba imechangia sana kuwepo hapo, na kwa hakika kibiashara Yanga itafaidika nae sana.
Tofauti na mashabiki ambao hatuhami timu, watendaji wa Club kuhama ni kawaida sana, makocha, wachezaji, wahasibu, sasa kwa Manara ambae alikuwa mhasibu tu sioni cha ajabu.
Tumeona wachezaji waliopenda timu zao zaidi kuliko kazi(professional) zao waliishia kuwa maarufu tu. Mfano ni Ngasa.